MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,033
- 64,842
Ameimba vizuri lkn hamfikii Dolly Parton bwana
Dolly ana unique voice so hkuna anyeweza mcopy akamfikia. Ni sawa na kumuiga sia ambye pia weng wamejarbu imba kma yeye ila wameshindwa.
Hawezi kumshinda mwenye wimbo. Vile alivyoimba Dolly ndivyo wimbo wake ulivyo.
Bado aisee, si umemuona Dolly pamoja na uzee lkn bado anacheza na sauti. Miley ni mzuri lkn hamfikii legend Parton
Miley hajamshinda Dolly mkuu, japokuwa yupo vizuri....anyway hii kitu ni subjective
Miley hajamshinda Dolly mkuu, japokuwa yupo vizuri....anyway hii kitu ni subjective
Mtoa mada labda nikusaidie meaning ya cover song
Msanii anafanya Cover ya msanii mwingine baada ya kuona gaps kwenye original version hivyo anafanya version nyingine kwa ajili ya kucover original kwa maana hiyo cover inapaswa kua nzuri kuliko original
Miley bangi zimekua nyingi ni sawa kama kaamua kuimba tu ila hiyo haiwezi kua cover ya Dolly
Mkuu itakua humjui mileyUmeiangalia video???
Imetoka wakati bado Miley ni Hanna Montana sasa Bangi zinaingiaje hapa????
Mkuu itakua humjui miley
Anakula bangi tangu Hanna Montana
Hiyo ya sasa hivi ni mixer ya
Drugs kibao ndio maana anakua kichaa
Back to the point huwezi kufananisha kipaji cha Dolly na Miley hata hiyo ni kumkosea heshima Dolly..
Haha kaka Dolly Parton yule mwanamama hapana aisee