Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

Leo ndio Yanga tutaongoza rasmi msimamo wa ligi kuu hadi mwisho wa ligi.
Hakuna namna ambayo Simba anaweza kuifunga Azam.
Tukutane jioni
Nipo azam kwa leo,ila shukrani za dhati ziende kwa mnyama kwa kutulindia nafasi yetu
 
Lazima Mnyama achinjwe kwa mara ya pili kuhakikisha amekwisha, tulianza Mapinduzi Cup kule Unguja na sasa tunamalizia kazi leo Vodacom PL Bara.
 
Okwibobansunzu any updates kutoka Uwanha wa Taifa? Tanesco leo walikata Umeme asubuhi, yaani Changanyikeni, Mikocheni hadi Kigamboni hakuna Umeme.

Vv
 
Huwezi kuamini waliokuwa key player wa Simba raundi ya kwanza Kichuya,Ajibu,Mavugo kwa sasa wanaanzia benchi
 
nikiangaliaga azam sports huwa namshangaa tu Boko, kitendo cha kupigwa kidole mbele za watu na yeye akanyamaza tu hajarusha hata ngumi. hivi mwanadamu akifanya kitendo kama icho kwa mtu kama mimi, mbona siku hiyohiyo ataenda ICU? afu kuna mwaka wachezaji wa timu fulani hivi walikuwa wanasemekana kurushwa ukuta ili wapate namba, kama sio yanga walikuwa simba miaka ile ya nyuma.
 
Back
Top Bottom