Big Brother Naija!

tboss anajisikia sana! ha ha haaa...bado wengi wanamaisha ya kuigiza humu! ngoja ichanganye kiaina
Wanaongea kwa pua
jana usiku walikua na party
nilikua nasinzia tu
 
jana alifanyiwa birthday..gauni nzuri.keki nzuri..muziki kidogo....na hapo ni baada ya kutoka kwa big brother kuongea nae...aiseee Uriel analalamika sijawah ona mweeee
Watching at Bisola jumping throught the game right now it's very funny!
Gifty naona anapozi sana nataman atolewe soon,
Uriel juzi alikua anakera kaulizwa vitu na big anajifanya anapanic halafu sjajua jana kama bday yake big alimfanyia chocchote
My favourate ni bally naona anausoma mchezo unavyoenda kwanza
 
Back
Top Bottom