Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,317
Hi Guys,,
I Hope Mko Gud,,,Right?
Ok Freshhhh,,,
Sikumbuki vizuri Hili bifu la hawa miamba wawili wa Bongo flava lilianza lini ila ninacho jua tu bifu lao lina muda mlefu kidogo,
Kusema ukweli Mimi siamin kama hawa jamaa wana bifu Kweli,Ila Mimi ninacho amini hili bifu liliundwa kibiashara ili watu wapige hela,Mwisho wa siku matokeo ilikuja kuwa bifu Kweli na kufanya mziki wetu ujenge makundi,wa huku wa huku na wa kule wa kule
Mwanzoni mwa bifu hili tuliona matunda makubwa sana ikiwa ni pamoja na mziki wetu kufanya kukua kimataifa,Ilikuwa kila tuzo zinazo tangazwa ni lazima ukutane na majina ya wasanii wetu,Diamond Platnumz,Alikiba,Vanessa na Navykenzo,
Ilifikia hatua mpaka wanaijeria wenyew wakawa wameanza kutishika na sisi, wasanii kutoka huko kila wiki lazima kuna mmoja alikuwa anakuja kufanya media Tour hapa kwetu.
Hilo bifu liliendelea kuleta matunda mpaka ilipo fika mwaka juzi 2017,Kama mtu utakuwa ni mfuatiliaji mzuri na asiye na ushabiki utagundua mziki wetu ulianza kutikisika hapo,Na mwaka huo ndo bifu lilikuwa halina nguvu sana kihivo cz Alikiba alionekana kuzidiwa au naweza kusema aliridhika, Hvo basi ilifanya Diamond abaki peke yake huku aki ipambania bongoflava na kupelekea kufanya collabo kubwa kubwa za kimataifa,Licha ya kufanya collabo hzo matokeo yake yalikuwa yanakuwa tofaut na makusudio,Hali hiyo ilipelekea Diamond kuchoka kiaina flani japo hakutaka kuonyesha hilo.
Diamond kwa mwaka Jana naweza sema hakutoa ngoma zaidi ya mwanza na Tetema alizo shirikishwa na rayvany,Ukizifuatilia hzo ngoma ni hit song kubwa sana kwa hapa bongo na kenya Lakini ukifuatilia huko mbele huzioni tofauti na miaka ya nyuma ambapo ngoma ikiwa ina sumbua hapa bongo na Kenya ujue tuzo zijazo hiyo ngoma lazima iingizwe kwa category,
Diamond karudi kwenye game mwaka huu na nguvu zote,Ukifuatilia ngoma anazo toa ni local kwa malengo ya kutaka kuliteka soko tena ili aurudishe mziki wetu kimataifa,Ni jambo zuri sana kuona ndugu yetu akiwa anapambania mziki wetu ili ukue zaidi,Lakini ninacho sikitika ni kuwa watu hawajui mziki wetu kinacho ufanya ushuke,siku zote ili usimamishe kitu lazima kuwepo na ushirikiano,hilo halina ubishi,mfano ni Nigeria.
Kuna ukweli ambao ni mchungu ila itabidi tuuseme,Alikiba na Diamond washashuka kimziki ila hizi timu zina wabeba sana,Hizi timu za Diamond na Alikiba zimeleta madhara makubwa kwenye mziki wetu ila nasikitika kuona watu hawaoni,Nina uhakika endapo Alikiba Na Diamond wakipatana ndani ya miaka miwili tunaweza pata matunda makubwa sana,Kutokana na hizi bifu zilizopo imefikia hatua baadhi ya wasanii wanaogopa kufanya collabo na msanii wa timu flani kwa kuhofia kutengwa na mashabiki wa upande flan,mfano mkubwa ni baada ya Navykenzo kufanya collabo na Mond ni kama wametengwa na timu kiba hali inayo pelekea Navykenzo wakitoa ngoma peke yao haifanyi poa,huo ni mfano mdogo tu.
Najua kuna watu huwa wanahofia endapo hili bifu likiisha inaweza kufanya Alikiba kupotea,Mim sikubaliani na hili coz tumeshuhudia juzi kati wizikd na Davido wakipatana,Na baada ya kupatana majina yao ndo yamezidi kuwa makubwa na kufanya show nyingi ambazo malipo yake yamevunja record,Mim Nina uhakika endapo hawa miamba wawili wakipatana wanaweza Fanya show pale national stadium na wakajaza au Hata kuzunguka nchi nzima na wakapiga hela sana na kupelekea wasanii wetu kuwa huru kwa collabo za kila upande na kusapotiana.