Binadamu sisi ni WAZITO jamaniii, hasa linapokuja swala la kumsamehe Mwenza alichepuka au kuchepukiwa kisha akaja na madhara kama mimba au ugonjwa..., Amakweli hapo lazima Neema ya Mwenyezi Mungu ihitajike sana la sivyo itabaki stori tu au Majanga.
Shukrani za dhati zimwendee Lara 1 mtoa Mada na amenigusa sana. TUBADILIKE JAMANIII MICHEPUKO SIO DILI!!!
Ahsanteni Sana na Mungu Awabariki na Kuwatia Nguvu ya kuyashinda hayo Majaribu. Amina