Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,240
Habari za Weekend, naomba kufahamishwa kuhusu biashara hii ya Mafuta maana kusema kweli Mafuta ndiyo yanaendesha uchumi wa nchi. Najua JF ni kisima cha maarifa Hivyo nina maswali machache!
1)Je kuanza from Scratch (Kujenga kituo chako) na kuoperate chini ya Wazoefu (Puma, Oryx au TOTAL) ipi ni nafuu hapo?
2.Kuhusu kuwa dealer wa kampuni nilizozitaja ipi inafaa zaidi?
3)Kuhusu Franchising option nasikia kuna DODO na CODO kuna unayomiliki na kusimamia kila kitu na kuna option ya kusimamia tu ipi nzuri zaidi?
4)Kwenye biashara hii ya mafuta vitu gani vya kuzingatia, Eneo ni Mwanza Mjini!
5)Mkiweza kuweka makadirio ya gharama nitashukuru pia!
Asanteni karibuni mnishauri