Boaz simon
New Member
- Dec 29, 2019
- 1
- 1
Ndugu zangu ,
Naitwa BOAZ SIMON BIGARAGU
Niko iringa kwa sasa naomba kushare ujuzi wangu kwenu juu ya biashara ninayoifanya ya kuuza mifumo simamizi ya uendeshaji wa shule.
Nina mifumo ya simamizi ya shule ya aina mbili, ninayo school management system kwa upande wa secondary na kwa upande wa primary, mifumo yangu ni web based application, natumia lugha za kisasa kabsa (python na framework ya django ) natumia sever za kisasa kabsa ambazo zina ulinzi wa uhakika
Karibuni wateja tujadiliane ili tuweze kufanya biashara, karibu uiweke shule yako katika usimamizi wa kisasa zaidi.