Date palm
New Member
- Jul 4, 2022
- 1
- 0
1. Ndugu zangu naomba kufafanuliwa mchanganuo wa gharama za kununua mashine ya kusaga unga wa mahindi na machine ya kukoboa na Ni ,a,bo gani ya msingi ya kuzingatia katika ununuzi wa mashine hizo?
2. Ni faida gani ya chini unayoweza tengeneza kwa mwezi na faida ya juu kabisa kwa mwezi kutokana na utofauti wa mwezi na mwezi? Kwa maeneo ya mkoani nje ya Dar es Salaam.
2. Ni faida gani ya chini unayoweza tengeneza kwa mwezi na faida ya juu kabisa kwa mwezi kutokana na utofauti wa mwezi na mwezi? Kwa maeneo ya mkoani nje ya Dar es Salaam.