Drat JF-Expert Member Oct 13, 2012 1,108 1,247 Jul 11, 2016 #1 Habari wadau? heshima yenu wote. Naombeni kujuzwa juu ya namna ya kuanzisha magazine, natakiwa niende wapi na vitu gani katika mamlaka? na pia naomba kufahamishwa printer yupi anafanya kazi nzuri kwa bei nafuu.Ahsanteni sana
Habari wadau? heshima yenu wote. Naombeni kujuzwa juu ya namna ya kuanzisha magazine, natakiwa niende wapi na vitu gani katika mamlaka? na pia naomba kufahamishwa printer yupi anafanya kazi nzuri kwa bei nafuu.Ahsanteni sana