Habarini za jioni waugwana..
Ninapenda kutanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakaenisaidia.
Ndugu zangu nina shida ambayo naamini wataalamu wa biashara wanaweza kunisadia- Katika kipindi hichi kigumu kwa wafanyabiashara walio wengi, Ningependa kuomba ushauri na msaada wa wazo la bishara gani nifanye.
Ninataka nifanye biashara lakini mtaji wangu nikama 10-18 Milioni- Wataalamu mnisaidie, ni Biashara gani nawezakufanya na ikanipa matokeo chanya kwa mda mfupi??
Nitashukuru sana kwa mawazo yenu.