Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Tanzania ni nchi tajiri inayopewa misaada na mikopo lukuki.
Analegezwa mtu hapo.
Tanzania ya viwanda mtaisikia tu midomoni
Tangu Magufuli awe Rais Tanzania haijawahi kuomba msaada wa fedha. Hata hivyo, Tanzania kama Nchi, haijawahi kutangaza huo msimamo wa kukataa msaada. Magufuli alichosema ni kwamba tTUNATAKIWA kuwa Donor country na sio omba ombaJamani situlisema hatutaki misaada na kwamba tunataka sisi ndo tuwe donor country?
Tokea lini mtu akapewa kitu ambacho hakukiomba au unataka kusema benki ya dunia wana huruma sana na watanzania wanaweza kuwapa pesa bila kuomba?Tangu Magufuli awe Rais Tanzania haijawahi kuomba msaada wa fedha. Hata hivyo, Tanzania kama Nchi, haijawahi kutangaza huo msimamo wa kukataa msaada. Magufuli alichosema ni kwamba tTUNATAKIWA kuwa Donor country na sio omba omba
Mbona mlisema hamhitaji wafadhili walipo ondoa MCC!!??MAISHA zaidi ya Watanzania milioni 6.6 walioko katika kundi la watu masikini na uhaba wa chakula yataboreshwa baada ya Benki ya Dunia kutoa nyongeza ya fedha za Dola za Marekani milioni 200 (sawa na bilioni 400 za Tanzania) kwa ajili ya miradi ya kuondoa umasikini.
Taarifa ya Benki ya Dunia kwa vyombo vya habari jana ilisema Bodi ya Wakurugenzi Watendaji imekubali kutoa msaada mpya kwa ajili ya programu zinazoendelea kwa ajili ya usalama wa jamii zinazotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Mradi wa Kaya Salama chini ya ufadhili wa TASAF, utasaidia mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kuongeza misaada ya fedha bila masharti, sambamba na kuongeza ushiriki wa walengwa kufaidika kwenye programu mpya zinazohusisha kuboresha nguvu kazi kubwa ya umma, uwekaji akiba na vitegauchumi.
Desemba mwaka jana, mradi huo ulipata maendeleo makubwa kwa kufikia lengo la kaya milioni 1.1, au wastani wa watu milioni 6.6 miongoni mwa asilimia 15 ya watu masikini jumla ya idadi ya Watanzania milioni 45.
“Kuongezwa kwa kiwango hicho cha fedha katika kusaidia mtandao wa uzalishaji wa jamii salama kutaleta mageuzi makubwa katika mradi huo wa kusaidia kaya masikini Tanzania.,” alisema Bella Bird, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia wa Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia.
Si lazima nchi kupata masaharti ya ajabu ajabu kwa misaada. Na pia mlifurahi sana kutosa MCC na kusema kwa sababu ya CCM. Sasa kiroho jujuu kuna nini?Mbona mlisema hamhitaji wafadhili walipo ondoa MCC!!??
Poleni sana si mnasema Rais Dikteta?! Hivyo mlitegemea kunyimwa misaada. Of course VIION ya Mh. Rais haiwezi kufa kwa maneno yenu yasiyo na kichwa wala miguu!Jamani situlisema hatutaki misaada na kwamba tunataka sisi ndo tuwe donor country?
Good news kwa kupewa misaada wakati sisi ndio tulitakiwa kuwa tunasaidia nchi nyingine zenye shida na uhitaji? Yaani Mwenyezi Mungu katujalia baraka na neema ya pekee ya kuwa na rasilimali za kila aina,lakini leo eti mtu mzima kabisa anafuahia kusaidiwa kuondoa umasikini ambao haukutakiwa uwepo?Good news!
Mkui sensor,chukia like. Ni akina jesika tu ndio wanaoweza furahia hii misaada na kuiita good news au eti ni neema. Hawajui hii nchi ni tajiri kupindukia na hao wanaotusaidia wana lao jambo,si kwa good faith.Tanzania ni nchi tajiri inayopewa misaada na mikopo lukuki.
Analegezwa mtu hapo.
Tanzania ya viwanda mtaisikia tu midomoni
Inahitaji akili pevu, pana, kubwa ili kufungua hii minyororo ya hawa wanyonyaji wa dunia ya kwanza otherwise hawa wa akili matope nothing they'll do.Mkui sensor,chukia like. Ni akina jesika tu ndio wanaoweza furahia hii misaada na kuiita good news au eti ni neema. Hawajui hii nchi ni tajiri kupindukia na hao wanaotusaidia wana lao jambo,si kwa good faith.
Someni Hard Choices: A Memoir ya Hillary Clinton na Confessions of An Economic Hitmen cha John Perkins mjue nini kinaendelea.