Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Wajinga bado wapo wengi uwe unaficha ujinga wakokwani kuna serikali iliyowahi kukusanya mapato 100% duniani ili hii iwe ajabu kwa tz?
Wajinga bado wapo wengi uwe unaficha ujinga wakokwani kuna serikali iliyowahi kukusanya mapato 100% duniani ili hii iwe ajabu kwa tz?
Si mbaya.Benki Kuu hatimaye imechapisha Taarifa ya Mapitio ya Uchumi wa Mwezi Oktoba kupitia November Monthly Economic Review ( MER ).
Mapato ya Serikali kwa mwezi Oktoba yamepata pigo kwani ni 83.8% tu ya lengo ndio limekusanywa
http://www.bot.go.tz/Publications/MonthlyEconomicReviews/MER November 2016.pdf