Bei ya mafuta kwa wenzetu leo, lita 1 ni shilingi karibu Tsh 270-Tazama

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758


Galoni moja kimarekani ni US $ 0.47, hilo galoni kwetu sisi ni sawa na lita 3.84. Dola 1 leo ni shilingi 2,184,
cents 0.47 X 2,184 = 1,026.48, uigawe kwa lita 3.84
itakua lita moja ni bei Tsh. 267.31!!!!!

***Bei ya mafuta ilikua chini kwa muda mrefu, kuondolewa vikwazo vya kiuchumi kwa Iran yasemekana mafuta yataongezeka sokoni kutoka Iran....hivyo bei inazidi kuporomoka......

Wakubwa japo mtupunguzie hadi 1,200...bado mchango wetu kitaifa utakuwa mkubwa nasi garama katika vijipato vyetu vya kuungaunga ipungue.....
 
Wale watani wangu wajadi wasijelalamika tu wanaoweka full tank wameongezeka mjini
 
Bei ishuke tu na hakuna namna Sumatra sasa tuone umahiri wenu,Na itasaidia pia bajeti yetu mwaka huu bei zisifumuke..huko wanakonunua yameshuka sana sasa wasiendelee kutuumiza!
 
Invinsible mada hii iunganishwe na ile ya kuporomoka kwa bei ya mafuta soko la dunia ili kuleta logic
 
Kuna vigogo wamewekeza kwenye hiyo sector hivyo suala la kushukq bei bado litqendelea kuwa story
 
Ni wakati sasa binadamu tuwe tunaoneana huruma, bei imeshuka kwa zaidi ya asilimia 80 lakini cha ajabu hapa mmeshusha kwa8% tu! Jamani hata kama ndio kutukandamiza sio kwa namna hii.., marekani wananchi wake wanauwezo mara1000 ya watz lakini mafuta wananunua kwa shs.200/- kwa liter! EWURA huwa mnakokotoa vipi hizi bei?! Em wekeni hiyo formula hapa tuijadili kwa kina. SHUSHENI BEI JAMANI!
 
"aloycious, post: 15133623, member: 113586"]Invinsible mada hii iunganishwe na ile ya kuporomoka kwa bei ya mafuta soko la dunia ili kuleta logic
No, hii ni breaking news yenye mshawasha mpya, labda baadae..
 
Mimi nataka mafuta yafike hata 5000 kwa lita. Zibaki gari za heshima tu barabarani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…