Bashite, run quick, see…

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,496
119,393
Come with me!

Hail Mary, Bashite, run quick, see.

What do we have here now?

Do you wanna ride or die?

La la-da-la la la la la

 
Seriously, CCM is morally and ethically bankrupt!

Why? Recycling the same old depraved characters from the archives!

Proof? Albert Msando, Paul Makonda, etc,.
Ila zaidi sisi wa bongo tuko corrupt zaidi, ni wanafiki sana ndio maana watu wa aina ya Makonda bado wapo tu.

Tunaonyesha chuki zetu kwa Makonda aliyekuwa RC tu, hatufanyi hivyo kwa wengine wengi waliokuwa na nafasi kubwa zaidi yake.
 
Alikuwa na Boss aliyemkingia kifua kwenye kila la hovyo alilolitenda. Toto pendwa kweli kweli.

Je, kwa sasa bado atakuwa na guts na jeuri za kuenenda kama awali? Tusubiri tuone..
Msimsingizie Magufuli, Bashite ni toto la mzee wa Msoga, alilizaa kwa malengo kisha akalitupa kwa JPM lionekane kama toto lake, lilipovuruga jiwe alishtuka akiwa kachelewa ila alilibwaga kwenye uchaguzi wa 2020, sasa mzee wa Msoga alichukua tena toto lake kukamilisha misheni yake.

Asomaye na fahamu.
 
Hahahaha we jamaa ulivyoandika nimecheka sana. Yaani kama vile Bashite ni toto fulani hivi linalodeka. Kiukweli JPM dakika za mwisho alionyesha kumshtukia DAB
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…