Barabara ya Msimbazi yawa nyeupe kama ulaya

Nilipita mitaa hiyo, nikasikia watu wakisema kama walimpiga (kuua) dreva wa gari fulani usiku wa jana. Aligonga boda boda ... Sasa wamachinga kwa kushirikiana na boda boda wakampiga (kuua). Sasa, kwa tukio hilo wakajipa tiketi ya kuondoka hapo. Maana serikali ilikuwa inaumiza kichwa namna ya kuwaondoa. Wamerahisisha kuondolewa kwao. Yaani peupeee!
 
Aisee..! Kumbe! Ahsante kwa taarifa zaidi
 
Kuna jamaa kauwawa hapo Leo
Alikanyaga bidhaa zilizopangwa barabarani.
Machinga wakampiga na kumchoma kisu.
So chinga wamekimbia.
Atakayekamatwa hapo anapewa murder case
 
Kuna jamaa kauwawa hapo Leo
Alikanyaga bidhaa zilizopangwa barabarani.
Machinga wakampiga na kumchoma kisu.
So chinga wamekimbia.
Atakayekamatwa hapo anapewa murder case
Si leo
Jamaa alikanyaga bidhaa za hao wauaji, yakajitokeza majibizano ndio jamaa akatoka ndani ya gari mjinga mmoja akamtia kisu akachomoa na kumchoma tena hadi akafa, gari wakaliharibu kwa mawe....
Polisi wamekasirika hatakiwi mbwa pale......
Inabidi watu waache nunua bidhaa za hao watu
 
Duuh..! Ahsante kwa taarifa zaidi
 
Hawa madereva wa bodaboda na machinga ni janga la Taifa. Wakifumbiwa macho tutaishia pabaya sana. Itafika wakati watakuja kupanga bidhaa nje ya nyumba zetu za makazi na hatutaweza kuhoji kwa kuhofia kudhurika Kama hivyo. Ni Kama tunayoona sasa hivi huko Morogoro kati ya Wakulima na Wafugaji...imefikia watu wanaenda nyumbani na kumteka Mwenye mifugo na kuchukua mifugo kwenda kuichinja porini.
 
Huyo jamaa ni 'shujaa', kafanikisha hilo zoezi la kuwatoa, RIP.
 
Mi huwa sinunui vitu vya hao jamaa maana huwa wana kero sana, tuwapinge kwa pamoja maana hawawezi muuua mtu kisa tu kakanyaga kitu anachowwza lipa
 


Kweli Mkuu hali halisi ndiyo hiyo,, walimpiga mshkaji wa palepale kariakoo ni mfanya biashara maeneo ya pale mtaa wa agrey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…