Bank ya Posta mna nini, mbona hamuiti watu kwenye interview?

Lyrics Master

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
479
667
Mara nyingi huwa wanatoa nafasi za kazi hasa kwenye website yao..lakini cha ajabu ukiomba hawakuiti kwenye interview hatakama una vigezo vyote.

Kuna nini pale au ndio kujuana sana? na kama ndio hivyo ni bora msiwe mnatoa matangazo ya vacancy kwenye website yenu.

Nimeomba zaidi ya mara kumi ila hamjawahi kuniita..
 
Sawa tumekusikia bosi @tang'ata anakuja
 
Kweli kabisa, waache tu kuweka matangazo wawe wanaitana wenyewe tu, hii sio kawaida yaani kama wewe huna sifa hata jirani yako au mtu mwingine nae hana? Duuuh
 
Mimi niitwa ilikuwa ni sales executive kama mwezi ulopita may be ni kutokana na njia ulotumia kuomba koz lazima utumie electronic email na siyo barua za posta
 
Mimi niitwa ilikuwa ni sales executive kama mwezi ulopita may be ni kutokana na njia ulotumia kuomba koz lazima utumie electronic email na siyo barua za posta
Hilo liko wazi mkuu, sidhani kama kuna mtu hajui kusoma matangazo hasa haya yao ambayo kila siku yapo, tunajua ni email na wanataka CV na barua basi, vingine wanadai utapeleka ukiitwa
 
Hilo liko wazi mkuu, sidhani kama kuna mtu hajui kusoma matangazo hasa haya yao ambayo kila siku yapo, tunajua ni email na wanataka CV na barua basi, vingine wanadai utapeleka ukiitwa
ofcourse hakuna atakayeomba kwa barua wakati pale wameandika tutume kwa email..huwa naapply kwa email
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…