boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,280
- 310
Ndiyo maana nasema Maalim Seif anaota mchana ya jua kali eti Dr. Shein atamwachia madaraka ya kuongoza Zanzibarsheria iko wazi kuhusiano na kutokuwepo kwa Rais kwa sabababu zilizoidhinishwa, Jaji M kuu atakaimu kwa kipindi maalum huku Tume ya uchaguzi ikiandaa uchaguzi mpya.