simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,206
Hivi mzima wewe?Wewe kumbe pumba sana na wala hukijuwi unachokizungumza na nafikiri huelewi nani mwenye dhima ya kutangaza kikatiba na unaposema sijuwi kitine; Salmi , karume hao ni wasaka tonge kama wewe
Na ambae anapaswa kutangaza matokeo ya Uchaguzi kwa Zanzibar ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi sasa kama katangaza uchaguzi ni Batil na Seif anaamini anapendwa na hakufanya wizi au unanganyifu kwa nini Asishiriki katika uchaguzi uliotangazwa kurejewa
Tuwe waelewa kiukweli Seif hawezi kuwa Rais wa Zanzibar kwa tabia zake sisi wazanzibar mnatuongelea nyinyi katika social media ila ukija huku chini ndo utaelewa jinsi gani Seif hatakiwi usihadaike na mitandao