Balozi Seif :Hatuoni sababu za kurudi kwenye mazungumzo na CUF

Salva kiiry wa Sudan naye alikuwa na kiburi kama cha huyu balozi.Lakini leo hii ametulia tuli,Kuti kavu limezama.
Ccm Zanzibar watakuja jutia kibri chao,Watake wasitake nchi zamu hii ni Cuf mi naona wanamchelewesha tu Maalim.
 
Nchi haitolewi kwa zamu atii,shurti alieshinda atangazwe aapishwe.subiri tarehe 20
 
Back
Top Bottom