Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,203
- 157,376
Nyie mlioko kwenye payroll endeleeni kushangilia mambo ya kijana yasiyo na tija kwa ustawi wa taifa letu changaNa hapa kazi tu
Na kumshangilia Mh. Makonda
Nyie mlioko kwenye payroll endeleeni kushangilia mambo ya kijana yasiyo na tija kwa ustawi wa taifa letu changaNa hapa kazi tu
Na kumshangilia Mh. Makonda
Wakuanze Wewe kwanzavyombo vya Habari hivi ni business au wana malengo yao tofauti? MWAKYEMBE safisha hii tasnia ya habari
We Zimema bado kuna mtu anaangaliaga TBC?
Kaijua ilipo TBC au alipelekwa.Tunamsikiliza Mh. Makonda sasa hivi yupo live TBC....maendeleo ya Dar
Maji etc
Nyie mlioko kwenye payroll endeleeni kushangilia mambo ya kijana yasiyo na tija kwa ustawi wa taifa letu changa
Naona kaja kikawaida tu, hatoongea lolote kuhusu MakondaHebu tumsikilize labda anataka kujibu tuhuma za RC Makonda.
Nasikiliza radio one!Balile angekaa kimya upumbavu wa Bashit umeonekana dhahiri jana.Haina haja ya kubishana na mtu ambaye inabidi arudi shule akasome.Hebu tumsikilize labda anataka kujibu tuhuma za RC Makonda.
huna kazi ya kufanya zaidi ya kumsikiliza bashiteTunamsikiliza Mh. Makonda sasa hivi yupo live TBC....maendeleo ya Dar
Maji etc
Anamkomesha RugeTunamsikiliza Mh. Makonda sasa hivi yupo live TBC....maendeleo ya Dar
Maji etc
Kumbe Tholle? Ignore her.We Zimema bado kuna mtu anaangaliaga TBC?
Wowowo linavutia lile, wivu lazima!Mtakoma makonda ni mtu wa makin kuliko ww ambaye hata ukipewa ukuu wa nyumba kumi utakuwa hujui uongoze vip acheni wivu na makonda jaman
Umeneza kadi ya kijani wewe siyo bureNa hapa kazi tu
Na kumshangilia Mh. Makonda