figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,486
Shukrani sana kwa taarifa yenu Bakwata,
kuwa msanii na wewe uone kama utapata wafuasi kama gwajimaGwajima msanii tu kama wasanii wengine....
Kama aliweza kuwakusanya Masheikh Uchwara na Wachungaji Uchwara kwenda kumuomba Lowasa achukue fomu ya kugombea Urais kule Dodoma ndani ya CCM ...
Sidhani kama hili lingemshinda..!
Kwani sheikh Ponda yuko Bakwata?!
Acha upuuzi hata kibwetere alikuwa na wafuasi tena watiifu.kuwa msanii na wewe uone kama utapata wafuasi kama gwajima
Ni wapi BAKWATA wamesema kwenda kanisani ni dhambi?... Ni aya ipi iliyoandika kwenda kanisani ni dhambi!?