Badala ya Kuhamisha Watu Kwenye Mafuriko Rufiji , Serikali Wamekuja na Kauli Mbiu ya "Pray for Rufiji" Je akili zimefika mwisho?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
58,915
69,630
Hivi Kuhamishia watu kutoka Bonde la Delta ya Rufiji Kunahitaji maombi?

Wakati mnajenga bwawa na kukusanya maji mengi kiasi hiki hamkujua kwamba Kuna siku litakuja kuleta maafa?

Wakati Wana mazingira wanaonya hatari ya kujenga bwawa hamkujua kwamba Kuna siku mtakuja kusema pray for Rufiji?

View: https://twitter.com/Eric__Bernard/status/1777714603746599007?t=4jC22HOmMaexEC3A5nN61Q&s=19
My Take: Watanzania Huwa tunafanyaga mzaha sana kwenye mambo serious.Pray for Rufiji haiwezi Kuzuia Mafuriko na maafa.
20240409_133439.jpg

Hali ya mambo huko Rufiji Kwa Sasa Iko hivi 👇👇

View: https://twitter.com/HabariLeo/status/1777699272433025434?t=FZ-j8X3sd5mHGaIbdliOGA&s=19

Kama mwaka 1970 watu walihamishwa,Hawa wa Sasa wametokea wapi? Kwa nini eneo Zima la Rufiji Delta lisuta gazwe kama Hifadhi?

View: https://twitter.com/HistoriaYetu/status/1778356149261132242?t=fMjCOoBZI_LHaTrPy3eNHA&s=19
 
Hivi Kuhamishia watu kutoka Bonde la Delta ya Rufiji Kunahitaji maombi?

Wakati mnajenga bwawa na kukusanya maji mengi kiasi hiki hamkujua kwamba Kuna siku litakuja kuleta maafa?

Wakati Wana mazingira wanaonya hatari ya kujenga bwawa hamkujua kwamba Kuna siku mtakuja kusema pray for Rufiji?

View: https://www.instagram.com/reel/C5dAeCztfWH/?igsh=ZWhhZ29uc3M4bTRr

My Take: Watanzania Huwa tunafanyaga mzaha sana kwenye mambo serious.

Huu ni uwendawazimu wa kiwango cha flyover
 
Wewe mwanamke unachuki sana na magufuli sijui kwasababu ipi hasa
 
Back
Top Bottom