Bachelor of education in policy, planning and management

makalango

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
448
252
Wakuu naombeni msaada kwa mwenye uelewa zaidi juu ya shahada hii na vyuo gani vinatoa ukiachana na chuo kikuu cha dodoma .natanguliza shukrani
 
Wakuu naombeni msaada kwa mwenye uelewa zaidi juu ya shahada hii na vyuo gani vinatoa ukiachana na chuo kikuu cha dodoma .natanguliza shukrani
Mkuu hii ni kozi nzuri sana ya kusoma of which inasaidia kukupa uwanda mkubwa kwenye policy , Planning and education hii ni sawa na wale waliosoma BA in Political science and Public Administration
 
Mkuu hii ni kozi nzuri sana ya kusoma of which inasaidia kukupa uwanda mkubwa kwenye policy , Planning and education hii ni sawa na wale waliosoma BA in Political science and Public Administration
Sasa mkuu Pilitical sc and public admini hapa bongo bado nayo ni chenga vilevile.
 
Kama ww ni mwajiriwa na unataka kusoma hiyo ndio kozi nzuri kasome ukiona udom mzingo mzito piga open mdogo mdogo hadi unamaliza
 
Bachelor of Education policy and management (BED PM)
NILISIMAGA MIAKA KADHAA ILIOPITA OUT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…