Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 387
mpenzi niondolee hiki kizizi, niondolee kizizi kukupenda wewe nilikizi umukusudia kunipa uchizi, si ungenienzi sio hirizi, kwa kifupi kizizi.Jamaa alitamba sana na vibao vyake moto moto kama Kizizi, Mapenzi Vionjo na Chagua Moja. Ila amepotea kwenye game saivi. Naomba nijue yuko wapi na anajishughulisha na nini?
Kawa Mario siku hizi...alikuwa analelewa na mdada flani ivi mjini,bt cjui km bdo yuko nae coz dogo kapigika sana mpk maji ya madumu alikuwa anauza,utozi mwingi na bangi ndo zilimponza!anajitahidi kutaka kurudi kwny game bt anashindwa
HAPANA KABISA MKUU UNAAMBIWA BLUE NDIO KAIGA STAILI YA BABLEEE, SEMA BLUE ALIFANIKIWA KUTOKA MAPEMA NA NYOTA...STAILI ZOTE BLUE ALIKUA ANAIBA KWA HUYO DOGO KAA NA WATU WA KARIBU NA KABAYSER WATAKUPA FULL INFORMATION MKUUWote waliokuwa wanaiga staili ya kabyser 'Mr Blue' wamepotea kwenye game
Nilimuona huyu dogo siku moja pale t garden nilikua nampenda mno...niko tayari kumsponser kama akikubali
Nilipoona huyu jamaa kasema eti kaiga stle ya bluu nilishangaa mno nadhani bableeni ujana na marafiki ambao niliwahi kumuona nao siku za nyuma...ila ana kipaji kuliko huyo blue na diamondHAPANA KABISA MKUU UNAAMBIWA BLUE NDIO KAIGA STAILI YA BABLEEE, SEMA BLUE ALIFANIKIWA KUTOKA MAPEMA NA NYOTA...STAILI ZOTE BLUE ALIKUA ANAIBA KWA HUYO DOGO KAA NA WATU WA KARIBU NA KABAYSER WATAKUPA FULL INFORMATION MKUU
HAPANA KABISA MKUU UNAAMBIWA BLUE NDIO KAIGA STAILI YA BABLEEE, SEMA BLUE ALIFANIKIWA KUTOKA MAPEMA NA NYOTA...STAILI ZOTE BLUE ALIKUA ANAIBA KWA HUYO DOGO KAA NA WATU WA KARIBU NA KABAYSER WATAKUPA FULL INFORMATION MKUU
Naamini kabisa ataweza, jaribu kumcheki q chillah, nadhani uzuri wa bablee kwa nilivyomuona mara ya mwisho hakua na uraibu wowote, alikua anakunywa safari yake...unga noWatu kama nyinyi ndio mnatakiwa kurudisha vipaji vilivyopotea. Mimi binafsi naamini dogo ana kipaji sana. Tatizo mziki umebadilika sana sasa ivi. Unafkiri anaweza kurudi na nguvu kama zamani akipata management nzuri?
Aliweka utozi mbele kuweka future mbele!Nilipoona huyu jamaa kasema eti kaiga stle ya bluu nilishangaa mno nadhani bableeni ujana na marafiki ambao niliwahi kumuona nao siku za nyuma...ila ana kipaji kuliko huyo blue na diamond
Ujanja kuwahi, blue aliyoka na kitu BLUE alaja na MAPOZI, hiyu Bablee alikuwa anasubiri nini?Dah! Nnavyojua mimi mkuu ni kuwa Blue alitoka mbele ya Bablee na yeye ndio mwanzilishi wa ile style ile ya kuimba na kuchana na mapozi mengi na mpaka design ya kuvaa kama Fabolous vile. Nimeshangaa kuskia kuwa Blue ndiye kamuiga Bablee. Hebu fafanua zaidi mkuu.
Inawezekana...ni suala la kumuelewesha tu..Aliweka utozi mbele kuweka future mbele!
Naamini kabisa ataweza, jaribu kumcheki q chillah, nadhani uzuri wa bablee kwa nilivyomuona mara ya mwisho hakua na uraibu wowote, alikua anakunywa safari yake...unga no
Ujanja kuwahi, blue aliyoka na kitu BLUE alaja na MAPOZI, hiyu Bablee alikuwa anasubiri nini?
soma vizuri comment yangu, nimesema aliyeanza kutoka ni blue but mwanzilishi wa staili ni bablee...kujua kitu sio kutoka mjini kutoka kunahitaji akili na fitna na maarifa mengi sana mjini.. bablee alikua vizuri sana but ndio ivyo tena..nasema hivyo coz hawa watu nawajua vizuri sana toka wapo kwenye harakati za kutoka kimziki.. so blue kila kitu enzi hizo alikua ana-copy and paste kutoka kwa dogo..Dah! Nnavyojua mimi mkuu ni kuwa Blue alitoka mbele ya Bablee na yeye ndio mwanzilishi wa ile style ile ya kuimba na kuchana na mapozi mengi na mpaka design ya kuvaa kama Fabolous vile. Nimeshangaa kuskia kuwa Blue ndiye kamuiga Bablee. Hebu fafanua zaidi mkuu.
haha kweli dogo alilewa sifa na alizidisha utozi na u-bulazaaaa men..talent without brain ni zero... haha hapo kwa diamond umeniacha kidogo ..hehe vipi je unaona amemzidi na king kiba au ni dadamond tuuuu..Nilipoona huyu jamaa kasema eti kaiga stle ya bluu nilishangaa mno nadhani bableeni ujana na marafiki ambao niliwahi kumuona nao siku za nyuma...ila ana kipaji kuliko huyo blue na diamond
Nimeiona video ya kwanza ya bablee na ninayo hadi leo mwaka 2007 na niliipenda mno kuna dogo mwingine alikua sharobaro records nae alikua poahaha kweli dogo alilewa sifa na alizidisha utozi na u-bulazaaaa men..talent without brain ni zero... haha hapo kwa diamond umeniacha kidogo ..hehe vipi je unaona amemzidi na king kiba au ni dadamond tuuuu..