Mjanja M1 JF-Expert Member Oct 7, 2018 4,023 14,177 Jul 23, 2024 #1 Babajide Adebanjo amevunja Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa ku-Twerk Muda Mrefu zaidi. Alicheza kwa masaa 3, dakika 30.
Babajide Adebanjo amevunja Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa ku-Twerk Muda Mrefu zaidi. Alicheza kwa masaa 3, dakika 30.
fundi bishoo JF-Expert Member Jun 26, 2018 14,054 26,559 Jul 24, 2024 #4 wanaijeria wana mambo hawa jamaa ko alikua anatikisa msambwanda