hahahahahahahaha*Kikwete uko wapi.*???
Ni mwanzo wa mwaka tunaomba msamaha kwa kuwa tulifanya makosa bila kujua, mzee tutakukumbuka sana tunakumbuka katika uongozi wako umefanya mazuri sana ukilinganisha na sasa.
Nakumbuka haya tu.
1. Ulilipa wanaoitwa wafanyakazi hewa wote.
2. Ulitoa mikopo kwa wanachuo wa vyuo tena kwa asilimia kubwa tu hata kama zilichelewa.
3. Ulitoa ajira kwa wahitimu wote wa ualimu na kada zingine kwa muda muafaka.
4. Haukuyumbisha elimu ,na waliokuwa udom, haukuwaita vilaza,na haukubadilisha viwango vya ufaulu kinyemela Baba.
5. Baba wafanyakazi walipata posho za vikao.
6. Baba ulikuwa na moyo wa uvumilivu ,wanasiasa walikusema sana ila haukuwaweka gerezani kama alivyowekwa kamanda lema.
7. Baba vyama vilipiga mikutano kadiri walivyokuwa wanaweza, walifanya siasa kadri walivyokuwa wanaweza.
8. Baba pole sana walikusema sana eti wewe ni mpole lakini upole wako watu walikuwa na "freedom of speech"
9. Baba tuliona bunge LIVE,tuliwasikia wabunge wetu wakisema bungeni na walikusema sana ila uliwavumilia.
10. Baba ni mengi sana japo kulikuwa na ESCROW, EPA,Richmond, lakini haya hayukukusababishia kufunga tv, yakitokea sasa hivi hata REDIO ZITAZIMWA.
*BABA UKO WAPI TUNATAMANI UPEWE HATA UKUU WA MKOA TUHAMIE MKOA UTAKAOKUWA WEWE.*
Miss chagga upo?Yupo likizo
kwahyo ulifurahi yatokee mkuu?hopeless*Kikwete uko wapi.*???

Nipo mkuu heri ya makaMiss chagga upo?
Na kwako pia Mkuu, tunasikilizia sasa mwaka utatupeleka vp....Nipo mkuu heri ya maka
Aiseee. Ni noma sana.Yupo likizo
Zaid ya noumaAiseee. Ni noma sana.
Ado adoNa kwako pia Mkuu, tunasikilizia sasa mwaka utatupeleka vp....
Niliona tangazo JK atakuwa anakula bata na akina harmonize, mambo ya nchi baadae. Safi sana.Zaid ya nouma
Safi sanaNiliona tangazo JK atakuwa anakula bata na akina harmonize, mambo ya nchi baadae. Safi sana.
*BABA UKO WAPI TUNATAMANI UPEWE HATA UKUU WA MKOA TUHAMIE MKOA UTAKAOKUWA WEWE.*
Kweli tunamkumbuka DadyYupo Bwagamoyo anapunga upepo wake wa bahari....
Alipoondoka alikeambieni mtanikumbuka mmeona sasa?