kila assignment anajiandaa kugoogle na kuchukua kazi za watu bila ku acknowledge na kujifanya ni Idea zao.kwenye research sijaenda ndio balaaAsilimia kubwa ya vyuo hapa Tz wanazalisha vilaza, utaona tu watu walivyo bize kuajiriwa! Ukimwambia fanya mpango tumia elimu yako kujiajiri atasema hana mtaji, ukimuuliza endapo utapewa mtaji utajiajiri?? NDIO. Unataka ujiajiri kufanya shughuli gani?? HAJUI.
CHUO KIKUU TZ NI SUA NA MLIMAN,NS ST AUGUSTINEBOB LUSE said:kila assignment anajiandaa kugoogle na kuchukua kazi za watu bila ku acknowledge na kujifanya ni Idea zao.kwenye research sijaenda ndio balaa
Alafu kiukweli wanaokatwa ndo huwa wanajipngeza kiakili za maisha mapema kuliko wengi wanaosonga mbele mpala vyuoni.Tatizo wenye akili nyingi walishakatwa majina yao tangu o-level wakachaguliwa vilaza.
Mbona wewe umekomaa Lumumba na buku saba?Asilimia kubwa ya vyuo hapa Tz wanazalisha vilaza, utaona tu watu walivyo bize kuajiriwa! Ukimwambia fanya mpango tumia elimu yako kujiajiri atasema hana mtaji, ukimuuliza endapo utapewa mtaji utajiajiri?? NDIO. Unataka ujiajiri kufanya shughuli gani?? HAJUI.
Tatizo wenye akili nyingi walishakatwa majina yao tangu o-level wakachaguliwa vilaza.
Wanafundisha mitaala ambayo haijaboreshwa kumsaidia mwanafunzi kujiajiri na mwanafunzi anafundishwa masomo.kibao katika semester moja.matokeo akimaliza anajisikia ameruka kiunzi badala ya kushukuru kwa kuelimika.that is realy truth .vyuo ving apa bongo vinapaswa vifutiwe usajiri kabisa vinatuharibia elimu
UDSM ni chuo kikongwe na bora wana wakufunzi na nyenzo nyingi.mwanafunzi anaweza kuondoka akiwa kilaza kwa sababu za mitaala na matakwa ya mwanafunzi.Hawa jamaa wengi wanabebwa na status, ila hawajiamini kabisa! Ukimbana umweke kwenue kona atakwambia mie UDSM bhana.
Mlimani ipi aaah st agustine ipi kwel umefilisikaV
CHUO KIKUU TZ NI SUA NA MLIMAN,NS ST AUGUSTINE
Ana wivu wa kikewivu unakusumbua,Udsm hatupokei vilaza sasa wewe walikukata ndo maana umejaa wivu
We kijana hebu wacha ujinga hapa, masomo mengi ni mangapi? Mbona ya lazima hayazidi 7 au haya ndo mengi?Wanafundisha mitaala ambayo haijaboreshwa kumsaidia mwanafunzi kujiajiri na mwanafunzi anafundishwa masomo.kibao katika semester moja.matokeo akimaliza anajisikia amerika kiunzi badala ya kushukuru kwa kuelimika.
mkuu hao wanaonyooshea kidole UDSM ni wa kuwasamehe bure.hawajawahi chaguliwa na university Senate'sNaona watu wameamua kutoa yao ya moyoni kuhusu udsm hahahaah itakua kwenye selection waliambiwa udsm hatuchukui three na four ndo maana watu wana hasira sana
juhudi zao ni clear semester exams wakimaliza wamesahau kila kitu inabakia story tu.namna walivyofaulu kwa kuongezewa ciurse work!Ukilaza ni shida ya mwanafunzi, ingawa mazingira ya chuo yanachangia sana! Ila kuna wanafunzi wako vzr sana hata kwenye hivyo vyuo vya kata!
Wanafunzi wanajisahau sana, wanajua kufaulu mtihan pekee kutawatoa mtaani, hata ukasome Harvard kama concept yako ya shule n kufaulu mtihan tu, utakuwa wa kawaida na utarudi ajiriwa wakati dropout wanaanzisha makampuni makubwa makubwa