Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 6,682
- 22,396
Kuna vitu vingine havihitaji hata kupigiwa upatu lakini watu wanavishupalia utadhani ni "BIG DEAL" ...Kenya haijawahi kuwa na bajeti ndogo ukanda huu hivyo,sijaona jipyaWow! Hongera sana kwa kuligundua hilo, aisee yaani wewe leo umetufumbua macho kumbe nchi ya Kenya ambayo ina Uchumi mkubwa klk TZ ina uwezo wa kuwa na bajeti kubwa kuliko TZ? Dah hongera sana, kwa kweli wewe ni kichwa hakijawahi tokea!
Ingekuwa uganda ningeshangaa.... Alafu mtu unailinganisha Tz na nchi kama rwanda na burundi !!!...