Kichaa mmoja kapiga cm hospitalini
KICHAA:halooo samahani eti chumba namba 17 kina mtu
NESI MAPOKEZI:subiri nikaangalie
KICHAAouwaaaaaaa
NESI MAPOKEZI:nimekwenda kuangalia hakuna
mtu,kwanini umeuliza hvyo…..?
KICHAA:nilitaka kupata uhakika kama kweli nimetoroka
au bado nipo