Baada ya kuteuliwa ubunge, Mchungaji Lwakatare amuombea Rais Magufuli.

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,991
Hii imetokea wakati wa ibada ya Pasaka ambapo amesema Pasaka ya mwaka huu imemgusa kiroho na kimwili.

Imemgusa kiroho kwa sababu Bwana Yesu amefufuka katika wafu.

Imemgusa kimwili kwa sababu ameteuliwa kuwa Mbunge wa Bunge la Tanzania.

Amemshukuru Mungu kwa kujibu maombi yao ambapo katika mfungo wa tatu kavu amejibu maombi yao kwa kishindo.

Amemshukuru Mwenyezi Mungu aliyewezesha Rais Magufuli kumkumbuka na kwa sababu hiyo kanisa limefanya maombi maalum ya kumuombea Rais Magufuli.

Kwa alichokisema zaidi angalia video.

VIDEO:
 
Rais anatakiwa kuombewa siku zote, maana ni agizo la bibilia kuwaombea Watawala wetu bila kujali unamtazamo gani juu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…