Baada ya kunywa bia kichwa kinauma balaa!

Ukijua umekunywa pombe za bei nafuu kwa kiwango kikubwa akikisha asubuhi unapata pepsi baridii na maji, mchezo kwisha hakuna cha kichwa wala mawenge mengine.
 
Ukishaanza kuchagua pombe bora uache tu. Mkuu we jipigie mabalimi, safari, the kick, senetor, makonyagi, yaani we yanywe tu!! Tena ukiweza yachangane kabisa!!
 
Pole, ilazimishe hivyo hivyo maana balimi ndo mpango mzima siku hizi
 
Back
Top Bottom