Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,188
- 7,490
Binafsi namshukuru sana Mungu kwa JPM kuwa rais wa nchi hii, sijui ingekuwa je kama muhimili {wa uadilifu} aliokuwa anauongoza JPM ungeangushwa ? any way angalau sasa mhimili wa uadilifu umeshinda lakini tatizo lililobakia ni support ya mtu mmoja mmokulingana na sehemu alipo. Shida ni kwamba hii jamii tuliyonayo ishakuwa corrupt katibu yote.Hivyo kuna baadhi ya watu ambao walitakiwa kumsaidia JPM ili kuleta mabadiliko ya kweli lakini hawafanyi hivyo na kundi hilo ni kubwa. Kwa mfano hebu wewe hapo ulipo jiulize umesaidia nini ili kuhakikisha kuwa mhimili huu wa uadilifu chini ya unaimarika na kufikia lengo?
Binafsi namshukuru sana Mungu kwa JPM kuwa Rais wa nchi hii, sijui ingekuwaje kama muhimili {wa uadilifu} aliokuwa anauongoza JPM ungeangushwa ? Any way angalau sasa mhimili wa uadilifu umeshinda lakini tatizo lililobakia ni support ya mtu mmoja mmoja kulingana na sehemu alipo.
Shida ni kwamba hii jamii tuliyonayo ishakuwa corrupt karibu yote. Hivyo kuna baadhi ya watu }wengi tu}ambao walitakiwa kumsaidia JPM ili kuleta mabadiliko ya kweli lakini hawafanyi hivyo na kundi hilo ni kubwa bado. Kwa mfano hebu wewe hapo ulipo jiulize umesaidia nini ili kuhakikisha kuwa mhimili huu wa uadilifu chini ya JPM unaimarika na kufikia lengo?
Aisee!KWA MFANO FEBRUARY MAAKATANI.. YUKO KIMYA WALA ENEO LAKE LA MUUNGANO KATIKA KUTATUA MIGOGORO ZANZIBA AU HILI LA MAZINGIRA WALA KAMA AMESUSA HIVI. SI UNAJUA JAMAA ZAKE WAMETUMBULIWA MAJIBU BAADA YA WIZARA YA MAWASILIANO KUUNGANISHWA NA UJENZI NA UCHUKUZI
Hataki msaada wowote huyo, anajua kila kitu . .Tumsaidieni magufuli ili aweze kutufikisha
unataka kufikishwa kileleni na Magufuli? basi sawa.Kiongozi huonesha njia, lakini hawezi kufanikiwa isipokuwa kwa kuungwa mkono na kupewa ushirikiano.Tumsaidieni magufuli ili aweze kutufikisha
Wapi?Kiongozi huonesha njia, lakini hawezi kufanikiwa isipokuwa kwa kuungwa mkono na kupewa ushirikiano.Tumsaidieni magufuli ili aweze kutufikisha
Nimemsiliza prof. Kabudi kwenye semina na wabunge kuhusu marekebisho ya miswada ya madini, nimebaini ni hatua nzuri na muhimu tunayopitia ili kufika Kule tunakoelekeaWapi?
Haya mawazo unayaleta kwa mtanzania huyuhuyu naemjua mimi au ni wale wa nje??Binafsi namshukuru sana Mungu kwa JPM kuwa Rais wa nchi hii, sijui ingekuwaje kama muhimili {wa uadilifu} aliokuwa anauongoza JPM ungeangushwa ? Any way angalau sasa mhimili wa uadilifu umeshinda lakini tatizo lililobakia ni support ya mtu mmoja mmoja kulingana na sehemu alipo.
Shida ni kwamba hii jamii tuliyonayo ishakuwa corrupt karibu yote. Hivyo kuna baadhi ya watu }wengi tu}ambao walitakiwa kumsaidia JPM ili kuleta mabadiliko ya kweli lakini hawafanyi hivyo na kundi hilo ni kubwa bado. Kwa mfano hebu wewe hapo ulipo jiulize umesaidia nini ili kuhakikisha kuwa mhimili huu wa uadilifu chini ya JPM unaimarika na kufikia lengo?