babalisa05
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 222
- 139
Amefeli yes na anakwamishwa ila tofauti ya maamuzi/busara haikwepeki (we have different brains) ambapo yeye aliamua kutengeneza pyramid ya watu kutajana from mtumiaji, muuzaji, msambazaji to muingizaji. USA wanatumia mtindo huohuo ambapo wakikumata unatumia wanakupunguzia adhabu kwa kutaja aliyekuuzia "snitching" na chain goes on and on.. tofauti na RC ni kuwatangaza ambapo possibly inatokana na kukosa jeshi lenye nguvu na woga wa watz ambapo mwenye pesa haguswi hivyo labda alikuwa anaomba support ya wananchi kumtia nguvu but imetafsiriwa kama kudhalilisha kwakuwa they are the best people, wafadhili wetu nk.. its all good.. am just proud of him..at least amejaribu/amethubutu na kama alitaka sifa ameipata.. most mentioned name in Tanzania kwa wiki sasa ni Makondasijasomea sheria ila naamini ili uweze kuhukumu mtu lazima ufanye uchunguzi wa kina ili umkamate na ushahidi sasa tatizo ni kubwa sawa namna wanavyodili nalo ndiyo tatizo imagine unawapa allert wahalifu ili wafiche ushahidi.. kiukweli mimi naona ameshafeli kudili nao japo nia yake ni njema ila anaipeleka kisiasa