2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,122
- 4,726
Nasikitika nchi hii haina waandishi wa habari za kiuchunguzi kama zamani. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Mbagala umeanza kuchakaa tayari kabla ya kuzinduliwa.
Zege lina majani, michanga kama vile limejengwa 80s, vituo vinapigwa vumbi tu. Pikipiki na Bajaji ndio zimejimilikisha njia hiyo.
Ushauri kwa serikali na UDART
Tafuteni mwekezaji anayeweza kuleta magari mapya nyie mbaki na kuchukua kodi na ushuru. Japo garama itaongezeka lakini hakuna jinsi watu wanataka huduma.
Au njia itumike kwa magari mengine ili kupunguza msongamano.