Kwa hiyo nyie wa kishumundu ndo matajiri?wanaume wa dar badala ya kuwaza mambo kila sehemu wanawaza mara jaydee mara dimond ndio maana wengi maskini
Mwanzisha uzi ni mtoto mzuri KWA taarifa yako. Si dumewanaume wa dar badala ya kuwaza mambo kila sehemu wanawaza mara jaydee mara dimond ndio maana wengi maskini
...tehtehteh wanaume wa dar ni shida tupu...wanaume wa dar badala ya kuwaza mambo kila sehemu wanawaza mara jaydee mara dimond ndio maana wengi maskini
Nyie ndo mana akijaga Diamond huko kwenu mnapangaga misululu kumuonawanaume wa dar badala ya kuwaza mambo kila sehemu wanawaza mara jaydee mara dimond ndio maana wengi maskini
ahaha!! usinichekeshe, kweli wewe milembe inakuhusu, na kwa mtindo huu machizi hawawezi kupona kwa kweliwanaume wa dar badala ya kuwaza mambo kila sehemu wanawaza mara jaydee mara dimond ndio maana wengi maskini
ahaha!! usinichekeshe, kweli wewe milembe inakuhusu, na kwa mtindo huu machizi hawawezi kupona kwa kweli
Haya ebu tuambie mwenzetu ambaye hupendi ku discuss watu hivi humu umekuja kufuata nini vile?? kweli machizi huwa hawajitambui, una bahati nimegundua kasoro yako mapema maana nilikuandalia kichambo cha haja mpaka ungeharisha hizo dagaa unazoshindia kila siku mpaka zinakufanya uropoke utumbo humu
Sasa huku umefata nini?? Hovyoooowanaume wa dar badala ya kuwaza mambo kila sehemu wanawaza mara jaydee mara dimond ndio maana wengi maskini
Kwi kwi kwii kwiindiiii ndi ndi ndiiiiiiiiiiiiii
Hahaa, haaa, nda nda nda, kakoras kangu hakoNdi ndi ndi
Naona uchawi wako umeishiwa nguvu, Leo huna pa kwenda kulogawanaume wa dar badala ya kuwaza mambo kila sehemu wanawaza mara jaydee mara dimond ndio maana wengi maskini
VIP sauda mwilima Ni mjamzito nini?ebu mwambie huyo, tena nina mimba ya baba ake mzazi
Dah!! nakumbuka enzi za bifu la clouds na mwanamuziki lady jaydee jinsi wafanyakazi wa clouds waliposhiriki ipasavyo kumkandamamiza lady jaydee wazi wazi akiwemo Mtangazaji machachari anayepiga mzigo Efm kwa sasa, Dina marios, ambapo awali alikua mstari wa mbele kumrushia vijembe mwanamke mwenzie anayetafuta riziki kwa kipaji chake kwa kuwa tu aliyekua boss wake hapatani na msanii huyo.
Leo nimesikia jide alikua Efm kwenye kipindi cha Uhondo kinachorushwa na mtangazaji huyo dina marios, hivi anajisikiaje alivyokua akimponda live jide na mwenzie geah habibu? leo kazi hana clouds, aibu iliyoje kujiingiza kwenye mabifu ambayo hayakumhusu, pengine hata kufukuzwa kazi clouds ni laana ya jide, wote walioshiriki kimkandamiza jide wataipata fresh