GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Azam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo.
Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo.
Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo wanaosema ni Saa 10 na wengine wakisema ni Saa 9.
Tafadhali mwenye uhakika Kamili wa muda wa Mtanange ( Mechi ) hii ya Simba SC ( TZ ) na Jwaneng Galaxy ( BOT) Leo aniambie tafadhali kwani nipo sasa 'Kilingeni' nikiendelea 'Kuirogea' Simba SC yangu na kujua muda wa Mechi kuanza ni Muhimu ili 'Majini' yaanze kufanya Kazi.