S.Liondo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,408
- 1,713
Kutembea na mwanamke na kulawiti watoto wa kiume lipi baya Zaidi? Je kati ya hao wanaofanya mambo hayo yupi muhuni kuliko wengine? Umeniambia unataka niwataje, ina maana wewe huwa hufuatilii habari? Ni kweli kwamba hujawahi sikia ile kashfa ya wale mapadre?Hao ni wapi..? Wataje..?
Maana huyu ni.muhuni kwelikweli...Hukumbuki lile saga la kutembea na mke wa Mbasha..?