cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Mpk sasa wauza gongo angalau wao wamejitahidi kutengeneza viwanda vyao...Viwandaaaa sijui vitakuja lini.maama watu wako busy kitengeneza kesi maana ya madawa wameshindwa wakishindwa ma hii sijui wataleta nini tena.