Askari wakiwa kwenye Ibada ya kumwabudu Mungu

Kwamacho yangu baadhi yao wanaimba sio kama wanaabudu. Nasikia miluzi kwa mbali, mluzi na ibada wapi kwa wapi. Ninakazia,nimesema baadhi yao

Nisishambuliwe hayo ni maoni yangu
 
Kwa muonekano wao ni kama wale maaskari wa kitengo cha kupambana na majambazi. Wazee wa defender.
 
Very interesting worship, possibly jioni baada ya kazi


View: https://www.youtube.com/watch?v=8AdTCDNyoBk

Jangwani, majaketi mazito mazito, vikinga vumbi nyusoni, mitandio nk nk, nchi gani hii!

Halafu wanachanganya mavazi ya mtaani mixer na ya upolisi!

Polisi gani hawa wasiokuwa na nidhamu?

Uvaaji wa sare kwa nidhamu ya kanuni za mavazi kunamletea heshima mvaaji, pia kumfanya raia asimtilie mashaka!

Kuvaa 'sagala' hivi, sisi raia tutawatofautishaje na majambazi ama wagambo wenye siasa kali?
 
Back
Top Bottom