Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,154
- 13,377
Weka picha yake mkuuWadau habari zenu?
Kuna trafiki mmoja mweupe na ni kijana,Leo(14/2/17) amekuwepo eneo la eneo Memorial(high way ya Arusha to MOSHI)
Huyu trafic amezidi kusimamisha magari na kuyatafutia makosa na akishayapata anataka walipe faini au watoe rushwa,na ameandaa vijana wake hasa wauza magazeti ili wamkusanyie hizo pesa.
Ameshika kitabu cha notifications mkononi kwa ajili ya kuzugia na kutosha watu ili watoe pesa.
Naomba uongozi wa polisi na wadau wengine mtambue hilo.
Muhanga
Picha yake sina ila kwa watumiaji wa Barabara hiyo na bosi wa trafiki atakuwa anajua ni ndani alimpangia hapo kwa siku ya leo,maana alikuwa trafiki peke yake(mwanaume) na hakukuwa na trafiki mwingine zaidi yake.Weka picha yake mkuu
Hakuna chombo kilichokamilika 100%Wasiwasi wa nini? Wewe weka chombo chako Safi kama utasumbuliwa.
Hawezi kukubambikia kosa kama umejikamilisha! Na ukiona anakuomba rushwa, nenda nae ukalipe kwenye mamlaka husika
Nawe ni mtuhumiwa! Kwanini utoe rushwa?Hakuna chombo kikixhokamilika 100%
Na watu wengi tunaona kulipa faini ni pesa nyingine bora umtoe na khaki au msimbazi!
Ficha Ujinga wako,nimesema huyo trafiki ni kero kwa madereva wa magari ya abiria na kwenye magari binafsi.Nawe ni mtuhumiwa! Kwanini utoe rushwa?
Na kwanini useme hakuna chombo kilichokamilika kwa 100% wakati ninyi ndio hamfati sheria?
Hebu sema kosa alilokutosa nalo faini ndio tujue kakuonea au wewe ndio mkwepa sheria
Rais hayuko juu ya sheria mkuu! Ile ilikuwa utani tu maana kama ukiamua kumchukulia traffic husika hatua lazima umtie ndani au kumwachisha kazi endapo kweli akikiuka sheriamkuu aliwaruhusu za kubrush viatu.
Kwanini hujatoa ripoti kwenye mamlaka husika uje kulalama mitandaoni?Ficha Ujinga wako,nimesema huyo trafiki ni kero kwa madereva wa magari ya abiria na kwenye magari binafsi.
Suala la Mimi kutoa au kutotoa rushwa sio agenda ya Uzi huu.
Ila nimeona wauza magazeti wakikusanya pesa kwa niaba yake!
Hata humu ujumbe unafika au wewe unajua kazi ya mitandao ya kijamii ni nini?Kwanini hujatoa ripoti kwenye mamlaka husika uje kulalama mitandaoni?
Wewe ndio ufiche ujinga wako
Nilikuwa nakufundisha tu kwamba sio vizuri kutoa rushwa na kuja kulalama humu badala ya kufata sheria za nchiHata humu ujumbe unafika au wewe unajua kazi ya mitandao ya kijamii ni nini?
Povu hilo...Ficha Ujinga wako,nimesema huyo trafiki ni kero kwa madereva wa magari ya abiria na kwenye magari binafsi.
Suala la Mimi kutoa au kutotoa rushwa sio agenda ya Uzi huu.
Ila nimeona wauza magazeti wakikusanya pesa kwa niaba yake!
Sina hakika kama una cha kunifundisha!Nilikuwa nakufundisha tu kwamba sio vizuri kutoa rushwa na kuja kulalama humu badala ya kufata sheria za nchi
Weka nguo ufue!Povu hilo...
Wadau habari zenu?
Kuna trafiki mmoja mweupe na ni kijana,Leo(14/2/17) amekuwepo eneo la eneo Memorial(high way ya Arusha to MOSHI)
Huyu trafic amezidi kusimamisha magari na kuyatafutia makosa na akishayapata anataka walipe faini au watoe rushwa,na ameandaa vijana wake hasa wauza magazeti ili wamkusanyie hizo pesa.
Ameshika kitabu cha notifications mkononi kwa ajili ya kuzugia na kutosha watu ili watoe pesa.
Naomba uongozi wa polisi na wadau wengine mtambue hilo.
Muhanga
Ndio! Ananing'iniza funguo ya gari kwenye ruksi ya suruali.MWEUPE ANA MWILI KIDOGO?????????????????
Ndio! Ananing'iniza funguo ya gari kwenye ruksi ya suruali.