Askari Polisi watatu wafariki dunia katika msafara wa CCM Singida

Michelin Tire Speed Ratings & Tread Life
The most common tire speed ratings, speeds and vehicle usage are as follows:

2-1-3_tire%20speed%20ratings_tread_life_michelin_image.jpg

The Origin of Speed Ratings
MICHELIN, sijui manufacturer wengine, lakini MICHELIN hawezi kutengeneza tairi ambalo likifika speed 60mph linapasuka.

Litakuwa tairi la nini hilo ambalo halifiki 60mph, tairi la mkokoteni?

MICHELIN hawatengenezi matairi ya mikokoteni.
 
Ni kweli ni, kabisa kukubaliana

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
Okay, kwa hiyo ulikuwa unataka kutudanganya hapa kwamba MICHELIN wanatengeneza tairi linalopasuka at 100km/hr. Wapi hapo wanaonyesha tairi mwisho wake 100km/hr????

Nilijua ni kamba, ni haiwezekani, yagudu!
 
Hahaha!! Mbona mgumu kuelewa? Hiyo Table ni mfano tu, kwamba tairi ya Code L maximum speed yake ni 120km/hr. Sasa hapo nimekuonyesha tairi za gari ndogo tu ili kukuelimisha juu ya concept ya tairi na maximum speed ratings ambapo wewe ulikuwa hukubali kwamba tairi za Michelin zina maximum speed kulingana na code na aina ya gari.
 
Back
Top Bottom