Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,754
- 17,607
Hii ni kwa Dar, sijajua mikoa mingine hali ikoje.
Dalili kuu ni:
Ukienda kliniki za watoto nyingi kwa sasa zimefurika haswa.
Yani kama mwanao hajaumwa, basi tegemea muda wowote naye kitamkuta.
Hizi dalili pia zinawakumba hadi watu wazima.
Serikali hasa Wizara ya Afya fanyeni hima muweze kuiimarisha idara ya Public Health kwani haya magonjwa ya misimu huwa yanatakiwa kuwa "Contained" na kujua ni mdudu gani hasa ameibuka kwa kipindi husika na jinsi gani ya jamii kujikinga.
Dalili kuu ni:
1. Homa kali
2. Mafua
3. Kukohoa
4. Kuharisha
5. Kutapika