mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 19,973
- 49,037
Usiwachukulie powa viongozi wa CCM ,ni kikundi cha watu wachache sana wenye akili nyingi, ndio maana wakigundua kule upinzani kuna mtu ana akili kama zao watataka wamvute ili waimarishe timu, Silinde, Kafulila, Katambi, Shonza, na wengineo wengi ni mfano hai.
Njoo kwa wananchi wa kawaida sasa, wale wenye akili huwa hawashabikii CCM bali malofa,wajinga na masikini wa kipato na akili.
Hii ni kuanzia ngazi ya kata kushuka chini,
Hii ina maana kuna watu wenye akili wanajiunga CCM ili kugawana keki ya Taifa.
Narudia tena ukiona mtu hana mpango wa kugombea uongozi na yuko CCM basi ujue huyo ni masikini ama wa kipato au fikra
Ndio maana CCM ina nguvu mikoa iliyo nyuma kimaendeleo.
CCM wanalijua hili ndio maana inachekewesha maendeleio ili iendelee kutawala,Watanzania siku wakielimika na kupevuka akili ndio anguko la CCM