Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,663
- 59,000
Hana nia ya kuendesha nchi kwa haki, angekuwa na nia hio basi angeanza na vyeti vy mla rushwa badala ya kuhangaika na mange kimambi whistle blower
hahaha.....kwa hiyo leo SI TUME HURU bali ni ELIMU DUNI......AYAH BHNA BADILISHENI TU GIAThis is true hii inaonyesha kwamba CCM inashinda kutokana na elimu duni waliokuwa nayo watu wa vijijini na wizi wa kura.
Yaani Lissu kachaguliwa kuongoza chama cha kufa na kuzikana cha mawakili unataka Magufuli ajitafakari nini?acha kumlinganisha Rais wetu na wanaharakati wapuuzi
when u tell the truth they come up and want to lock u upHakujiandaa kuwa Rais nchi ,mnamuonea tu!
Umeongea point mtani wanguKilichonisikitisha ni Waziri Mwakyembe. Huu ni uchaguzi wa kawaida wa wanasheria. Sasa serikali ilikuwa inahusika vipi? Hili jambo wa kujilaumu ni serikali. Ndo ilianzisha confrontation zisizokuwa na maana. For sure wanasheria hawajafika level ya kuchaguliwa viongozi na serikali. Siyo leo wala kesho. Ni aibu dunia ya leo kutaka kutumia mabavu simply because wewe una madaraka. Lazima tujifunze kuvumiliana hata kama tuna mawazo tofauti. Wote ni watanzania. Magufuli lazima amkubali Lissu. Hana pa kumuweka ni Raia wa Tanzania. Lissu kuwa mwanasiasa inahusiana vipi na yeye kugombea uongozi kwenye chama cha mawakili ambacho na yeye ni mwanachama hai?
Kikubwa ambacho mwalimu wangu Mwakyembe ajue ni kwamba huwezi shinda vita vya hoja kwa kutumia ubabe au nguvu.
Ni watu kama wakina Mwakyembe wanatufanya Waafrika kila siku tunaonekana hamnazo. Who is President of TLS? Ana kitu gani cha kuifanya serikali itishike? Lissu ameanza uanaharakati wa kutetea haki za wanyonge nadhani hata Mwakyembe na Magufuli walikuwa hawajaingia kwenye siasa! Leo hii tunaambiwa kwamba chama cha wanasheria kitafutwa kwa sababu watawala hawamtaki Huyu mtu! Shame!
Mpaka amenikera mwalimu wangu!
Kila lakheri Rais Mteule Tundu Lissu.
Ingekuwa hivyo wala yule mnyakyusa asingeropoka kukifuta ikiwa kitamchagua Msomi Tundu A. Lisu kuwa Rais wake.Yaani Lissu kachaguliwa kuongoza chama cha kufa na kuzikana cha mawakili unataka Magufuli ajitafakari nini?acha kumlinganisha Rais wetu na wanaharakati wapuuzi
We can see the light at the end of Tunnel. Congratulations our beloved soldier Tundu Lissu.Tuachane na tafiti za kupikwa za Twaweza, kuchaguliwa kwa Lissu kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika kwa ushindi wa 88% ni statement kubwa sana kwamba jamii ya Watanzania walioelimika wanamwelewa Lissu na vyama vya Upinzani kuliko wanavyomwelewa Magufuli, CCM na Polisi Wake...
...hiyo maana yake ni kuwa Magufuli hakubaliki miongoni mwa Wasomi na hata miongoni mwa watumishi wa Umma kwa sababu katika uchaguzi huo wa TLS mawakili na wanasheria wa serikali pia waliwakilishwa kwa wingi wa kutosha tu na kura zao wamempa Lissu...
Kwa hali hii, kiongozi mwungwana angetumia uchaguzi huu kama fursa ya kujitathmini na kujirekebisha na kuwa na nia ya kuendesha nchi kwa haki!
Kama cha kuzikana mapovu ya serikali ilikuwa ni nn? Acha ujinga weweYaani Lissu kachaguliwa kuongoza chama cha kufa na kuzikana cha mawakili unataka Magufuli ajitafakari nini?acha kumlinganisha Rais wetu na wanaharakati wapuuzi
si ndio nyie mliosema lisu hapitiWasomi 1400? Hebu tuwe sirias jamani.
Mkuu chama cha kufa na kuzikana uchaguzi wake ungekuwa unapingwa mahakani na mwakili wa serikali?Yaani Lissu kachaguliwa kuongoza chama cha kufa na kuzikana cha mawakili unataka Magufuli ajitafakari nini?acha kumlinganisha Rais wetu na wanaharakati wapuuzi
Hawa ni wengi sana aserWasomi 1400? Hebu tuwe sirias jamani.