mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 87,094
- 120,444
Bora mzee wa arachuga umesema ukweli maana hapa kulikuwa na habari za kila aina kila mtu anasema lakeMkuu mnachanganya mambo,hiyo nyumba ni mali ya dada yke mtu kamfumania mkewe na jamaa akamwagwa petrol dirishani na kuwasha moto,ni nyumba inawapangaji
Ova