Arusha:Semina ya Ujasiriamali itakayofanyika siku ya Jumamosi 25th/02/2017 Ukumbi wa Golden Rose

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Tangazo la Semina ya Ujasiriamali itakayofanyika siku ya Jumamosi 25th/02/2017 Ukumbi wa Golden Rose Arusha Mjini Kwanzia saa 2:00 Asubuhi hadi 12:00 Jioni. Kiingilio Tsh.10,000/=
Semina hiyo itahusu;- Usindikaji wa Biscuit, Mayonnaise, Chocolate, Pipi, Ice Cream na Tofi, Chill sauce, Tomato sauce.
Pia utengenezaji wa Vipodozi;- Lotion, Cream, Lipstick, Sabuni, Shaving cream Aftershave, na Shampoo.
Bidhaa za ngozi: Mabegi ya Kisasa, Viatu na Sendozi.
Bidhaa za Nguo: Batiki na Screen Printing.
Ufugaji Samaki: Ufugaji wa Samaki zaidi ya1000 kwenye simtank moja au mapipa.
Utaalamu: Jinsi ya kufungua na kuendesha company kisasa.
?Pia kutakuwepo na vitabu vya haya mafunzo. Vilevile tunauza malighafi za bidhaa zote zilizotajwa hapo juu.?
FIKA GOLDEN ROSE MAPOKEZI KWA DADA MARY. UJISAJILI NAFASI NI CHACHE!
Kwa mawasiliano:-
Number 0677201866 au Email: info@wajasiliamali.com
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…