Arusha: Hashimu Rungwe pamoja na wabunge wamemtembelea Godbless Lema Mahabusu Kisongo

Tupo wote ktk kipindi hiki kigumu. Hakuna kipindi cha urais ambacho kimekuwa kibaya km cha awamu hii. Tufanye bidii 2020 tujiokoe.
 
Hivi kweli unakwenda kanisani au msikitini huku unatesa na kunyanyasa wengine? Tuwe serious jamani. Hata hizo dua sijui zitakubaliwa.
 
Hii inaitwa mateso bila chuki. Wako pamoja nae kama ulidhani utavunja umoja wao imekula kwako.
 
Back
Top Bottom