App za bure zinaingizaje hela?

Matangazo
Pia kampuni kubwa kama google, microsoft, facebook wanauza data za mtumiaji kwa makampuni mengine, namna unavyotumia app zao, wanapata taarifa zako nyingi wanajua unapendelea nini, chakula gani, gari gani, kwa hiyo utakutana na matangazo yanayohusiana na vitu unapenda, hiyo ndio biashara kubwa kwa sasa.
 
Mimi ntapataje hela? Wao wakipata matangazo halafu Mimi hela naipata vipi?
 
Unapotengeneza app, ukaipeleka playstore kuna option ya ku monetize kama ilivyo youtube, kwa hiyo unapofungua app ukakutana na tangazo, ndio mwenye app anapata pesa, kiwango anachopata inategemea wingi wa kuonwa kufunguliwa matangazo husika.
Yes ndo maana nikauliza ikitokea app imekuwa downloaded milioni moja... naweza pata kiasi gani
 
ok, hamna jibu la moja kwa moja kwasababu determinant factors ni nyingi, kwa case ya 2m downloads unaweza kuta watu wanapata kiwango tofauti tofauti vya mapato.

Ila zipo calculators online unaweza tembelea ukapata estimation, kama nilivyosema factors nyingi huathiri mapato ya app hamna formula ya moja kwa moja ya kwamba ukiwa na downloads 2m utapata kiasi fulani.
 
Mimi ntapataje hela? Wao wakipata matangazo halafu Mimi hela naipata vipi?
Hapo Mjomba Fujo kamaliza kila kitu, hela unaipata hivi, assume umeweka matangazo, matangazo yanaweza kuwa ya Admob (Google), Facebook ama kampuni nyengine, unalipwa na hio kampuni.

Maarufu ni hao Admob na wanalipa kutokana na aina ya Tangazo na Nchi mtu alietoka, watu kutoka Dunia ya Kwanza kama Usa ama Japan wakiangalia Tangazo unapata hela nyingi kuliko watu Dunia ya Tatu. Kuelewa zaidi Tu uangalie upande wa Advertiser.

Mimi ni Vodacom nataka kutangaza Tangazo langu online, naenda Google Nalipia kila Tangazo langu likiangaliwa mara 1000 namlipa mtu 3000.

Google analiweka Tangazo kwa Advertiser wadogo wenye App, kuna Tangazo la Vodacom kila Visitors 1000 unapata 2500 (wanaweka cha juu na wao) ukikubali Tangazo linatokea kwenye App yako, wakiangalia watu milioni 2 kwa mwezi unagawanya 2M/1K = 2000 x 2500 inakua kama milioni 5 kwa mwezi.

Hizo ni Rough estimation tu ila matangazo yapo mengi na ulipaji tofauti tofauti, Kuna matangazo unalipwa mtu akiclick Tangazo, kuna matangazo unalipwa mtu akiclick na kudownload apps, mengine mpaka download app na ucheze kidogo etc. Ukiwa advertiser vyote hivi unavikuta huko website ya Google.

Kuhusu Uuzaji wa data hayo ni makubaliano na inategemea how sensitive hizo data zipo, huu ni ulimwenguni mwengine wa kutoheshimu privacy za watu.
 
@Chief-Mkwawa
Samsung galaxy s7 edge nai update vipi.
 
Hivi ukiwa Tanzania na unataka urushe tangazo online kwenye android games...unafanyaje?
 
Inaenda mpaka android 8.0, sema sijui kama server bado zipo active mpaka leo. Pengine utahitaji kudownload file manual na ku flash mwenyewe,

Kitu cha muhimu ujue exactly model ya simu, kuna wahuni wana tabia ya kucheza na hizi samsung na kubadili model Inayoonekana kwenye setting/about, itabidi uiingie download mode kupata exactly model halafu tumia hio model kudownload android 8 firmware halafu flash na odin. Utapoteza data.

Alternative jaribu software ya pc smart switch Ama Samsung kies, hizi zote ni za samsung, connect simu kwa usb zitadetect kama kuna update watakupa itaongezeka version.
 
Poa, Mkuu.
 
Back
Top Bottom