Anzisha kiwanda kidogo nyumbani

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,346
2,046
Habari wakuu.
Baada ya kufanya majaribio ya bidhaa mbalimbali, napenda kushare nanyi kitabu kinachofundisha jinsi ya kutengeneza bidhaa hizi mwenyewe bila mwalimu.
Kimekusanya bidhaa zaidi ya kumi na tano.Pia kina mbinu za ujasiriamali.
Kinapatikana pia katika mfumo wa softcopy ambayo inatumwa kwa whatsap.Bei ni ths.5,000/-
Elfu tano tu.

piga:0713-039875
 

Attachments

  • BIDHAA.JPG
    29.4 KB · Views: 278
weka mfano mmoja wa sabuni ya maji kwanza ili tuone kwa maana wengi ni matapeli........tumechoka kuumizwa............ukiweka hiyo nakutumia buku tano.....
 
Samahan lakn,materials hususan chemicals zinapatikana kwenye maduka gani?
 
Safi sana kila nyumba ikiwa na kiwanda ni vyema sana, mpango wa kuwa nchi ya viwanda naona upo njiani kudhihirika
 
Hili ni jambo zuri, tatizo ni utapeli mwingi. Niliwahi kununua kwa mtindo huu lakini nlichokikuta huko nkaona kweli watu hawako serious.

Siku hizi naingia tu Youtube naokota ntakachopata, mambo yanasogea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…