V viwanda JF-Expert Member Nov 16, 2016 697 749 Feb 22, 2017 #1 Nakumbuka ulisema mwisho mwezi wa tatu mtumishi ambae hajaleta hiyo index number atafukuzwa kazi. Vipi waziri wangu wameleta wote hizo index number na je ni kweli ambao hawataleta watafukuzwa kazi kama ulivyosema.
Nakumbuka ulisema mwisho mwezi wa tatu mtumishi ambae hajaleta hiyo index number atafukuzwa kazi. Vipi waziri wangu wameleta wote hizo index number na je ni kweli ambao hawataleta watafukuzwa kazi kama ulivyosema.
Elungata JF-Expert Member Jan 28, 2011 40,202 33,263 Feb 22, 2017 #2 Huyo nae alikuwa anatafuta kick tu.. Nimeanza kazi mwaka 1963,yaani nikae nakalili index number,WTF?...!!
Huyo nae alikuwa anatafuta kick tu.. Nimeanza kazi mwaka 1963,yaani nikae nakalili index number,WTF?...!!
Wong Fei JF-Expert Member Apr 13, 2016 4,819 6,464 Feb 22, 2017 #3 HILO NI DILI LA CCM NA KICHAKA CHA MAOVU ILI WASIAJIRI NA WASILIPE WAFANYAKAZI STAHIKI ZAO Wakimakiza uhakiki unafikiri wakale wapi? "MAKONDA APOROMOSHA MATUSI BAADA YA KUULIZWA CHETI CHAKE CHA FORM FOUR"
HILO NI DILI LA CCM NA KICHAKA CHA MAOVU ILI WASIAJIRI NA WASILIPE WAFANYAKAZI STAHIKI ZAO Wakimakiza uhakiki unafikiri wakale wapi? "MAKONDA APOROMOSHA MATUSI BAADA YA KUULIZWA CHETI CHAKE CHA FORM FOUR"
Elungata JF-Expert Member Jan 28, 2011 40,202 33,263 Feb 22, 2017 #4 Huyo nae alikuwa anatafuta kick tu.. Nimeanza kazi mwaka 1963,yaani nikae nakalili index number,WTF?...!!
Huyo nae alikuwa anatafuta kick tu.. Nimeanza kazi mwaka 1963,yaani nikae nakalili index number,WTF?...!!
M Mtafutaji hachoki JF-Expert Member Aug 14, 2015 469 396 Feb 22, 2017 #5 Mungu anawaona lakinii.. SERIKALI YA MATAMKO
Itel Member Feb 6, 2017 33 16 Feb 22, 2017 #6 Yani hii serikali bora ukaishi maporini kama wamasai tyuu
Abuwhythum JF-Expert Member Jan 7, 2015 837 495 Mar 3, 2017 #7 <b>Muongo ni muongo tu, hata umkwelishe vipi hakweliki.</b>